Burudani
Mbalamwezi Step Up Player ndani
Katika usiku wa Mbalamwezi Beach Party Step Up Prayer, jana yalipamba moto kando ya ufukwe wa bahari ya Hindi pale Mbalamwezi. Wasanii mbalimbali waliweza kuwaonyesha uwezo wao akiwemo dogo Aslay, Stamina, Godzila na wengine wengi.
Kundi la mkubwa na wanawe wakiwa kwenye pozi.