AFCON 2019 Tupogo!
Vodacom Data Datani!

Mbosso afunguka kuhusu kupendelewa na Diamond WCB kuliko wasanii wengine (+Video)

Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka lebo ya WCB, Mbosso Khan amefunguka mwanzo mwisho kuhusu kile kilichodaiwa msanii huyo kupendelewa na Diamond WCB.

Kauli hiyo aliitoa msanii mwenzake kutoka WCB Harmonize katika moja ya mahojiano mjini Morogoro baada ya kuulizwa kwamba ” Inaonesha wewe ndio msanii anayependelewa na Diamond'” Harmonize alijibu ” Unakijua kipenzi cha Diamond ? kuna mtu anaitwa Mbosso yule ndio kipenzi cha Diamond”

Lakini Bongo 5 ilifanya juhudi za kumtafuta Mbosso aongelee kauli hiyo ya Harmonize na alijibu hivi, Sikiliza na angalia mahojiano haya:-

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW