Burudani

Mbosso aiomba Serikali impatie ubalozi wa kutangaza utalii ‘nimeongeza pato la Taifa kupitia video zangu, sitawaangusha’ (+video)

Msanii kutoka WCB ameiomba Serikali kupitia Wizara ya Utalii na Maliasili impatie nafasi ya ubalozi wa kutangaza utalii kupitia kazi yake ya Muziki.

Mbosso ameyasema hayo kupitia mahojiano yake maalumu na Bongo5 leo Januari 21, 2019.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents