Videos

Mbosso Khan kutoka WCB ameachia video ya Maajab , awachezesha waarabu kwenye video yake – Video

Mbosso Khan kutoka WCB ameachia video ya Maajab , awachezesha waarabu kwenye video yake - Video

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Mbosso Khan kutoka katika lebo ya muziki ya WCB ameachia video ya wimbo wake mpya wa Maajab. Audio imegongwa na Mocco Genous huku video ikifanywa na Director Kenny kutoka Zoom Production. katika video ya wimbo huo ambao ameonekana akiifanyia Uarabuni na wakionekana akiwachezesha Waarabu.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents