Habari

Mbowe agusia wasanii wanavyotumika kwenye kampeni (Video)

CHADEMA wameendelea na kampeni kuelekea Uchaguzi Mkuu mwezi October ambapo Jumatato hii chama hicho kilikuwa mkoani Shinyanga ambapo viongozi mbalimbali walipata nafasi ya kunadi sera zao. Mbowe ambaye ni mwenyekiti wa Chama hizo amezungumzia suala la wasanii kutumika kwenye mikutano ya vyama mbalimbali nchini.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents