Tupo Nawe

Mbunge ataka Rais Magufuli abaki madarakani hadi reli ya Namtumbo ikamilike ”Hatakama itamchukua miaka 30 ” (+Video)

Mbunge wa Jimbo la Namtumbo (CCM), Mhandisi Edwin Ngonyani amesema bungeni leo anatamani rais John Magufuli na serikali yake iendelee kubakia madarakani hadi ujenzi wa reli Namtumbo utakapokamilika hata kama itachukua zaidi ya miaka 30.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW