Habari

Mbunge Joshua Nassari asusa kuendelea kuchangia hoja kuhusu Korosho kisa?(+video)

Mwenyekiti wa Bunge, Azzan Zungu alimsimamisha Mbunge wa Arumeru, Joshua Nassari kwa muda kuchangia hoja baada ya kuchangia hoja kwa kutaja majina ya watu, hali ambayo imemfanya Zungu kumzuia kuchangia na kumuonya na baadaye alivyompa nafasi ya kuendelea kuchangia alisema hata endelea tena.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents