Habari
Mbunge Musukuma aibuka na jipya kuhusu uvuvi haramu (+video)
Mbunge wa Geita Vijijini Joseph Kasheku Msukuma amesema dhana ya uvuvi haramu imeenea kwenye kauli za Mawaziri, Lakini Samaki wana makuzi tofauti ,Ni lini wizara itakuja na sheria na kumfavour mvuvi anapokutana na maumbile kama ya binadamu. Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega ametoa majibu ya Serikali: