HabariUncategorized
Mbunge wa CUF aliyehamia CCM ‘nilikuwa na hofu ya kutumbuliwa na viongozi wangu’ (Video)
Mbunge wa Liwale kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF), Zuberi Kuchauka leo Jumatatu Agosti 13, 2018 ametangaza kujiunga na CCM.Ametangaza uamuzi huo leo katika mkutano wa waandishi wa habari uliofanyika katika ofisi ndogo za CCM Lumumba jijini hapa, akiwa sambamba na Katibu Mkuu wa chama hicho tawala, Dk Bashiru Ally.
Mihabari kama hii hampaswi kuipatia nafasi hata kidogo kwa kuwa INABOA mno!!!
Huko ulipo pia tumejaa sasa
Sio habari
Nadhani huku ni kuchezea pesa za walipa kodi kwa kurudia uchaguzi bila sababu za msingi.majimbo ya wanaojiuzulu yabaki wazi mpaka uchaguzi mkuu