Siasa

Mbunge wa Iringa Chadema Peter Msigwa, Amuomba Kinana msamaha – Video

Abdulrahman Kinana alifungua kesi Mahakama Kuu ya Tanzania dhidi ya Peter Msigwa kutokana na matamshi aliyowahi kuyatoa dhidi yake ndani na Bunge akimhusisha na biashara ya ujangili na uuzaji wa nyara za Serikali.

Katika kesi hiyo iliyosikiliwa na kuhukumiwa na Jaji Zainab Muruke, Msigwa alishindwa kuthibitisha tuhuma zake hizo mbele ya Mahakama na hivyo kukutwa na hatia.
Amesema “Ninamuomba radhi Abdulrahman Kinana kwa matamshi yangu niliyotoa nikimhusisha na ujangili na uuzaji wa nyara za Serikali. Tuhuma hizo hazikuwa na ukweli wala ushahidi wowote, bali zilikuwa na malengo potofu ya kisiasa na kizandiki”

https://www.instagram.com/p/CAYWvojhlcb/

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents