Siasa

Mbunge wa jimbo la Wawi Pemba ‘CUF’ ajiuzulu na kujiunga na CCM akiwa na magwanda ya chama chake mbele ya Polepole – Video

Mbunge wa jimbo la Wawi Pemba 'CUF' ajiuzulu na kujiunga na CCM akiwa na magwanda ya chama chake mbele ya Polepole - Video

Hivi ndivyo Mbunge wa Wawi (CUF) Mkoa wa Kusini Pemba Ndg Ahmed Juma Ngwali alivyotangaza kujiuzulu uanachama wa CUF pamoja na nafasi zake zote kupitia Chama hicho na kutangaza kujiunga na CCM na kupokelewa na Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa Itikadi na Uenezi Ndg  @hpolepole

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents