Mbunge wa Viti maalum Mkoa Kagera, Oliver Semuguruka apongeza kazi kubwa inayofanywa na OSHA (+Video)

MBUNGE wa viti maalum Mkoa wa Kagera Oliver Semuguruka amewapongeza Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi ( OSHA ) kutokana na kazi kubwa ambayo wanaifanya.

Bi Semuguruka ameyasema hayo baada ya kutembelea ofisi za OSHA  akiwa kama balozi wa Usalama na Afya mahala pazi, huku akikiriwa kuwa yupo tayari kushirikiana nao na yupo tayari hata kuagizwa kikazi Mkoa wowote.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW