Tupo Nawe

Mbunifu wa mavazi Noel amefunguka utofauti wa kufanya kazi kati ya Alikiba na Diamond “Kiba amenibeba sana Diamond yuko serious” – Video

Mbunifu wa mavazi Noel amefunguka utofauti wa kufanya kazi kati ya Alikiba na Diamond "Kiba amenibeba sana Diamond yuko serious" - Video

Mbunifu wa mavazi kutoka Tanzania Noel ambaye amefanikiwa kufanya kazi na karibia kila msanii Tanzania amefunguka mengi sana kuhusu changamoto anazopitia kufanya kazi na wasanii wakubwa Tanzania.

Akiongea na Bongo5  Noel ameeleza kuwa kuna ugumu sana kufanya kazi na wasanii wakubwa kama Alikiba na Diamond Ingawa nilianza kufanya kazi na Alikiba kabla ya Diamond.

Mbali na hilo Noel amefunguka kuhusu Tanasha kucopy wimbo wa Gere kutoka kwa Iza kutoka nchini Brazil.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW