Michezo

Mbwana Samatta: Maendeleo ya mguu sio mabaya (Video)

Mshambuliaji wa klabu ya KRC Genk, Mbwana Samatta ameanza kutembea bila ya kutumia fimbo maalum akiwa katika maeneo ya timu hiyo.

Samatta ambaye ni mchezaji wa kimataifa wa Tanzania kupitia ukurasa wake wakijamii wa Instagram ameandika ujumbe unaoelezea hali yake kwa sasa nakusema “Maendeleo ya mguu sio mabaya.”

Samatta akiwa ‘Gym’

 

Mchezaji huyo amefanyiwa upasuaji wa goti siku chache zilizopita baada ya kuumia ndani ya klabu yake huku akitarajiwa kuwa nje ya Uwanja kwa muda wa majuma sita hii ni kwa mujibu wa daktari aliyemtibu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents