Michezo

Mbwana Samatta, Thomas Ulimwengu watua nchini kimyakimya kuikabili Uganda ‘The Cranes’

Nahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars” Mbwana Samatta anayecheza katika klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji na mshambuliaji wa Al Hilal ya Sudan, Thomas Ulimwengu wametua nchini alfajiri ya leo.

Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu wametua nchini ili kujiunga na kambi ya timu ya Taifa inayojiandaa na mchezo wa kutafuta tiketi ya kufuzu Afcon dhidi ya Uganda.

Baadhi ya nyota wengine wanaocheza nje ya nchi na kuwasili ni Rashid Mandawa na Ramadhani Kessy.

Mchezo huo unatarajiwa kupigwa kwenye uwanja wa Mandela uliyopo Namboole Uganda utakao fanyika Septemba 8 ya mwaka huu 2018.

Related Articles

3 Comments

  1. samatta Mina kukubali saana vraiment weye ni mkali tena saana yoote inayo ya Fanya Europa akia mungu una tupa heshima sisi Wa afrika, na pia na sema aksanti kwani kiwango za goli zako zilisha wayi nipa pesa napo beti na i twa mulubi bin amissi Joseph fabien toka drcongo ndani ya mji Wa goma.

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents