Burudani

MC Pili Pili afunguka haya usiyoyajua, ajifananisha na Diamond Platnumz kwa kuanzisha redio yake Dodoma, (+Video)

Msanii mchekeshaji na MC katika masherehe mbali mbali MC Pili Pili amefunguka kuhusiana na kuanzisha redio yake jijini Dodoma, lakini pia kuhusiana na lebo yake ya wasanii wachekeshaji. Mbali na hilo amejifananisha na msanii Diamond ambaye pia ameanzisha redio yake, msikilize Mc Pili Pili:-

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents