Burudani
MC Pilipili akuta meseji za msanii wa filamu akimtongoza mke wake Qute Mena (Video)
Mchekeshaji MC Pilipili amesema hataacha kumpost mitandaoni mke wake Qute Mena licha ya baadhi ya wasanii wa filamu kuanza kumtongoza kupitia mitandao ya kijamii. Amesema muigizaji huyo aliyemtongeza mke wake alimgundua baada ya kushika simu ya mke wake.