Burudani

MC Pilipili kukutanishwa na Kevin Hart, Ampigia saluti Diamond kwa jambo hili (+Video)

Mchekeshaji maarufu nchini Tanzania, MC Pilipili amefunguka ishu ya kukutanisha na mchekeshaji maarufu duniani, Kevin Hart ili kufanya naye mazungumzo ya kikazi.

MC Pilipili amefunguka hayo kuptia Bongo5, ambapo amesema Meneja wa Diamond Platnumz, Babu Tale ndiye atakayemkutanisha na Kevin Hart kwani ni mtu ambaye ameshawahi kukutana naye na tayari wana mawasiliano yake.

Kwa upande mwingine, MC Pilipili amempongeza Diamond Platnumz kwa kuanzisha kituo cha runinga cha Wasafi TV ambapo amedai kuwa kituo hicho ni mkombozi tosha kwa vijana kwani kitanyanyua vipaji vingi vilivyokosa nafasi ya kusisikika kwenye Media nyingine.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents