DStv Inogilee!

Mchambuzi wa soka, Abbas Pira aitabiria makubwa Simba SC dhidi ya Waarabu wa Algeria ‘JS Saoura anakufa, naipa Simba 90%’

Wakati Wekundu wa Msimbazi Simba SC wakijiandaa kushuka uwanjani hapo baadae kuwakabili waarabu wa Algeria timu ya JS Saoura katika mchezo wa klabu bingwa barani Afrika, mchambuzi wa soka Abbas Pira amewatabiria makubwa wawakilishi hao wa Tanzania.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW