Burudani ya Michezo Live

Mchambuzi wa soka Abbas Pira akoshwa na kiwango cha Bernard Morrison Vs Singida United ‘Yanga wameula’ (+Video)

Mchambuzi wa soka Abbas Pira amejaribu kuchambua uwezo uliyooneshwa na Winga mpya wa klabu ya Yanga, Bernard Morrison kwenye mchezo wa ligi kuu dhidi ya Singida United. Katika mchezo huo ambao ulikuwa wa kwanza kwa Winga huyo, alijizoelea umaarufu mkubwa kufuatia kiwango ambacho alikionesha na kuisaidia timu yake kuibuka na ushindi wa jumla mabao 3 – 1.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW