Habari

Mcheck Will Smith akipiga freestyle kwenye birthday party ya Gabriel Union

Kama ulidhani Will Smith kazeeka, basi hauko sahihi. Bado yupo gado. Mtazame kwenye video hiyo juu alipoamua kushika kipaza na kuchana freestyle kwenye birthday party ya muigizaji Gabrielle Union alipotimiza miaka 40.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents