Burudani

Mchekeshaji Eric Omondi amjiajuu msimamizi wa taasisi ya filamu Kenya Ezekiel Mutua

Omondi ambae anafahamika na wengi kama raisi wa arena ya komedi Africa, amekula mori baada ya Dkt. Ezekiel Mutua kumuonya mcheshi huyu didhi ya kupiga picha akiwa kifua wazi. Onyo hili halikumfikia Eric Omondi vizuri hali ambayo ili sababisha nyota huyo kujibu mapigo hayo mara moja.

Nikimunukuu “Haikua na haja Dakitari Ezekiel Mutua kusafiri kote huko kutoka Nairobi hadi mjini Mombasa ilikuita mkutano na wanahabari ili uniongelee. Mwanzo sijatambua ni kwanjia gani unajipatia kipato? Afadhali mimi ambae unanisuta naharibu watoto kwa kuonyesha kifua wazi nina mradi mkubwa wakuwainua watoto hao unaodai nawaharibu kupitia ucheshi. Je wewe umewafanyia nini hawa watoto kama sikuwadhalalilisha na kuwanyima vibali vyakufanya na kufuata vile wanavyopenda? Nikome kabisa kunitaja jina langu.” Alimalizia Eric Omondi.

Omondi kwa hivi sasa yupo mbioni kujenga mradi wake mpya wa utengenezaji wa filamu ambao anasema ni kwaniaba ya kulenga kukuza talanta za vijana wadogo na kufungua ama kubuni nafasi za kazi.

Imeandikwa na @changez_ndzai -Kenya

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents