Jiunge ufaidi miezi 2 bure!

Mchepuko wamponza Big Sean, Abwagwa na Jhene Aiko

Rapper Big Sean kwa sasa huwenda anaona mtandao wa kijamii wa Instagram mgumu hasa pale anapokosa like na comment kutoka kwa mpenzi wake.

Taarifa zinaeleza kuwa rapper huyo amepigwa kibuti na mpenzi wake Jhene Aiko baada ya kudaiwa kuchepuka na mwanamuziki Nicole Scherzinger, wakati wa After Party ya Oscar.

Mmoja ya mtu aliyekuwepo katika sherehe hiyo ameeleza kuwa Aiko, hakupendezwa na jinsi aliyomkuta amekaa mpenzi wake Sean na Scherzinger katika sherehe hiyo upande wa VIP.

“They were all over each other and they looked really comfortable around each other. They looked like they were a couple. Aiko allegedly got wind of this news and was furious. She was pissed, she confronted him about it and he didn’t really deny it,” ameelaza shuhuda huyo.

Kupitia mtandao wa Twitter, Jhene aliandika ujumbe unaoashiria kuwa stori zinazoendelea ni za kweli,

Mwaka jana Jhene alijichora tattoo ya Sean katika mkono wake, Baada ya kuachana na mumuwe Oladipo

 

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW