Michezo

Mcheza Mieleka, Big Daddy V wa WWE afariki dunia kwa ugonjwa wa moyo

Mcheza Mieleka wa WWE ,Nelson Frazier maarufu kama Big Daddy V amefariki dunia Jumanne usiku katika mji wake wa Memphis, Tennessee baada ya kuugua ugonjwa wa moyo .

NelsonFrazierFightingInRing
Big Daddy akiwa katika pambano enzi za uhai wake

Big Daddy V amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 43 akiwa amechukua mikanda kadhaa ya World Tag Team Champion,Hardcore Champion na King of the Ring (1995).

Katika mtandao wake, WWE imeandika: WWE is saddened by the news that Nelson Frazier Jr., aka Big Daddy V and Mabel, has passed away. A larger-than-life Superstar, Frazier was a former World Tag Team Champion, Hardcore Champion and the 1995 King of the Ring.
As the dark, formidable Viscera, he was also a member of Undertaker’s faction, The Ministry of Darkness. Frazier’s colorful personality made him a memorable competitor throughout the Attitude Era. Our deepest condolences go out to Frazier’s family, friends and fans.”

Tazama video ya pambano la Big Daddy V wakati wa uhai wake na Colin Delaney.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents