Michezo

Mchezaji bora wa VPL 2018, John Bocco atangaza vita msimu ujao (Video)

Mchezaji bora wa ligi kuu Tanzania Bara msimu wa mwaka 2017/18, John Bocco amewashukuru wachezaji wenzake kwa mchango wao katika kumuwezesha kutwaa tuzo hiyo na kuahidi kufanya vema zaidi msimu ujao.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents