Michezo

Mchezaji wa zamani wa Aston Villa, Dalian Atkinson auawa na polisi

Mchezaji wa zamani wa klabu ya Aston Villa, Dalian Atkinson ameuawa baada ya polisi kumshambulia na bunduki ya shoti ya umeme, Taser.

37119DC700000578-3741176-image-a-43_1471256467459

Kwa mujibu wa Mail Online, maafisa waliitwa kutoka kituo cha polisi cha West Mercia kwenye nyumba ya Telford, Uingereza usiku kwa wito wa kuangalia usalama wa mtu.

Walipofika, Taser ilitumika kwa Atkinson. Mchezaji huyo alipewa matibabu lakini alitangaza kufariki baadaye.

373FC77C00000578-3741176-image-a-42_1471256190367

Polisi wa West Mercia wamesema hawawezi kusema chochote kutokana na suala hilo kupelekewa kwenye tume huru ya malalamiko ya polisi.

8614343
Polisi akiwa na Taser

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents