Michezo

Mchezo wa Napoli na Lazio waahirishwa kutoka na ubaguzi wa rangi

Ligi ya Serie A iliendelea jana Feb 3 kati timu za Lazio na Napoli mchezo huo ilibidi uahirishwe baada ya kutokea vitendo vya ubaguzi wa rangi vilivyokuwa vikifanywa na mashabiki wa Lazio kwa beki wa kati wa Napoli half Kalidou Koulibaly.

30D99E7300000578-3430693-image-a-32_1454537351379
Beki wa kati wa Napoli half Kalidou Koulibaly ambaye alikuwa akifanyiwa vitendo vya kibaguzi.

Lazio-Napoli

Ripoti kutoka kwenye mchezo huo zinasema kwamba, palikuwa na kelele za kumfananisha beki huyo na nyani zilikuwa zikipigwa na mashabiki wa Lazio kutoka kwenye majukwaa ikabidi mwamuzi kuamua kuumaliza mchezo huo uliokuwa umefikia dakika ya 68 huku Napoli ikiwa mbele kwa bao 2-0 ambayo yalifungwa na Gonzalo Higuan na Jose Callejon.

Lazio-Napoli-2

Lazio wakakumbana na adhabu kubwa ya fine kutokana na tabia iliyofanywa na mashabiki wake.

Boss wa Napoli Maurizio Sarri amempongeza mwamuzi Massimiliano Irrati wa mchezo huo kwa kuusimamisha mchezo kisha akasema alikuwa anajisikia vibaya kusikia kelele za kibaguzi kwenda kwa Koulibaly.

Lazio-Napoli-1

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents