Habari

MCT yasikitishwa kushambuliwa kwa Mhe. Lissu

By  | 

Baraza la Habari Tanzania (MCT) limeungana na wapenda amani kujieleza na kutoa maoni kulaani tukio la Tundu Lissu kupigwa risasi na watu wasiojulikana

Soma taarifa kamili:

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Add a comment

comments