Burudani ya Michezo Live

Mdogo wake Mez B ‘OneSix’ aliyeimba chorus ya wimbo ‘Mkombozi’ wa Roma, kumbe ni noma! (Video)

Msanii OneSix wiki hii amekuwa aki-trend kwenye mitandao ya kijamii kupitia kipande cha chorus cha wimbo ‘Mkombozi’ wa Roma Mkatoliki ambacho amekifanya na kuonekana ameuwa sana. Muimbaji huyo amefunguka mambo mengi kuhusu muziki wake pamoja namna alivyoshiriki kwenye kazi hiyo ambayo imemuibua.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW