Burudani ya Michezo Live

Mean Tweets: Tazama mastaa wa Hollywood wakisoma wenyewe tweets walizotukanwa

Twitter kuna watu wa kila aina. Wapo ambao kazi yao ni kukejeli na kutukana mastaa mbalimbali. Lakini Jimmy Kimmel ana kitu cha kuvunja mbavu zako zaidi pale ambapo anapowapa mastaa waliotukanwa wayasome wenyewe matusi hayo.

Awamu hii amewakusanya mastaa wa filamu wakiwemo George Clooney, Sean Penn, Taraji, Kevin Hart na wengine kusoma tweets hizo. Tazama video hiyo hapo juu.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW