Burudani

Meddy wa Slowly atua Bongo kimya kimya, amsaka Ben Pol na Vanessa pamoja na wasanii wa WCB (Video)

Msanii wa muziki ambaye anafanya vizuri na wimbo Slowly pamoja na Loose Control, Meddy kutoka nchini Rwanda yupo nchini Tanzania kwaajili ya kufanya kolabo na baada ya wasanii ambao wanafanya vizuri kwa sasa. MuimbajiĀ  huyo ameiambia Bongo5 atakaa Tanzania kwa muda kidogo kwaajili ya kukutana na wasanii mbalimbali.

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents