Burudani

Meek Mill amdiss tena Drake kwenye ngoma hii

Beef ya Meek Mill na Drake haioneshi dalili ya kuisha mapema.

https://www.youtube.com/watch?time_continue=5&v=g09LKMKBdmI

Katika muda ambao wengi tulianza kusahau, Meek anarudi tena na nyundo kwa rapper huyo wa Canada itakayokuwepo kwenye mixtape yake ya Dreamchasers 4.

Video fupi ya Meek Mill inayomuonesha akichana mistari michache ya wimbo huo imesambaa mtandaoni.

“When I was saying shit about the rhymes you ain’t wrote / I can’t wait ’til we run in ya / I’ma put a gun in ya,” rapper huyo wa Philadelphia anarap kwenye video hiyo.

Katikati ya mwaka huu, Meek Mill alimshutumu Drake kwa kutumia ghostwriter kwenye nyimbo zake na kuibua beef kali kati yao.

Drake aliachia diss track mbili, ‘Charged Up’ na ‘Back to Back’ na Meek kujibu kwa ‘Wanna Know.’

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents