Habari

Mel B (Spice Girls) kulia Christmas Rwanda nyumbani (ikulu) kwa Rais Kagame

Mwaka huu muimbaji wa zamani wa kundi la Spice Girls la Uingereza, Melanie Janine Brown aka Mel B atakula sikukuu ya Christmas nchini Rwanda. Atafikia nyumbani (ikulu) kwa Rais Paul Kagame.

Mel-b-mel-b-22380773-1024-768

“Christmas ipo tofauti kila mwaka,” aliliambia gazeti la Daily Mirror wiki hii. “Mwaka jana tulikuwa Australia na ilikuwa nzuri, lakini mwaka huu tumeamua kwenda Rwanda na tutakaa kwa rais Paul Kagame.”

Mwaliko huo Mel B aliupata kupitia watoto wawili wa Kagame wanaoishi New York, Marekani.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents