Habari

Melania Trump afanyiwa upasuaji wa figo, Trump atoa neno

By  | 

Mke wa Rais Donald Trump, Melania Trump amefanyiwa upasuaji wa figo katika hospitali ya Walter Reed Medical Center.

Kwa mujibu wa msemaji wa Melania, Stephanie Grisham amesema upasuji huo umekuwa wenye mafaninikio makubwa na hakukuwa na matatizo yoyote yaliyojitokeza.

Nayw Rais Trump amethibitisha hilo kupitia mtandao wake wa Twitter huku akiwashukuru wote waliokuwa wakimuombea mkewe.

Taarifa za kufanyiwa upauaji huo zilitolwa na Ikulu ya Marekani Jumatatu hii huku ikidaiwa kuwa ataendelea kubakia hospitali kwa wiki yote hii ili kuweza kupata nafuu zaidi.

Loading...

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Comments