Burudani ya Michezo Live

Membe atoa dukuduku lake kuhusu CCM ‘Sisi tuliopita hakuna jema tulilolifanya’ (Video)

Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya nje wa Tanzania na kada wa muda mrefu wa chama tawala Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bernard Membe alirudisha kadi yake ya uanachama wa CCM kitendo kilichomaanisha ukomo rasmi wa uanachama wake CCM.

Wiki iliyopita alipozungumza na mwandishi wa BBC Sammy Awami, Membe alisema alikuwa bado ana imani ya kusafishwa na halmashauri kuu ya chama cha CCM na kurudishwa tena katika chama hicho baada ya kufukuzwa uanachama miezi michache iliyopita..

Membe anaanza hapa kwa kuelezea utofauti wa aliyoiita ‘CCM ya zamani’ na ‘CCM mpya’.

Source: BBC Swahili

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW