Diamond Platnumz

Meneja wa Diamond, Raqey Mohamed akanusha ripoti kuwa ametapeliwa na staa huyo

Meneja wa Diamond Platnumz, Raqey Mohamed amelazimika kutumia mtandao wa Facebook kukanusha habari iliyoandikwa na gazeti la udaku la ‘Jumatatu’ kuwa ametapeliwa na Diamond. Amesema Diamond ni mchapakazi na mwaminifu na mkataba wao hauhusiani na mtu yeyote.

63209_10151351201828123_773142995_n
Raqey ameandika, “this is coming from me Raqey known as Diamond Platnumz Manager, hakuna ukweli wowote juu ya habari hii, Diamond is a hard working kind and loyal. Our contract has nothing to do with anybody. If you want to write a story at least pay a visit to my studio or call me before you write a story.”

Raqey akiwa na Diamond kwenye interview
Raqey akiwa na Diamond kwenye interview

Bongo5 imempigia simu Raqey ambaye ameendelea kusisitiza kuwa habari hiyo ni ya uzushi nay a upuuzi mtupu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents