Burudani

Meneja wa Mobetto afunguka tuhuma za mteja wake kupewa kashfa ya kumroga Diamond (Video)

Mwanadada Beatrice Ndungu ambaye ni Brand Advisor au meneja biashara wa mwanamitindo, Hamisa Mobetto amefunguka kuzungumzia tuhuma zilizomkuta mteja wake huyo za kutaka kumroga mzazi mwenzake, Diamond Platnumz. Beatrice ambaye amemletea madeal mengi ya biashara mrembo huyo, amesema sakata hilo lingemwaribia brand mrembo huyo kama angelichukulia tofauti, kwani amedai Hamisa kwa sasa yupo fiti na anaendelea na kazi zake kama kawaida.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents