Burudani ya Michezo Live

Meneja wa Shilole afunguka kuhusu Shilole kupigwa Uchebe

Mmoja kati ya mameneja wa @officialshilole , @hanskiumbe amefunguka kwa kudai kwamba yeye aliachana na msanii wake majira ya saa tisa usiku baada ya kutoka viwanja vya Sabasaba.

Meneja huyo amedai sio kweli kwamba msanii wake amepigwa kisa Harmonize kumkumbatia kama watu wanavyodai bali walikuwa na mambo yao mengine yakifamilia.

Hans amedai kwamba kwa sasa wamefuata hatua zote za kisheria ili msanii wake atibiwe na mambo mengine yafuate.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW