Burudani

Meninah na Linah kusheherekea siku ya kuzaliwa 16 March, Club Bilicanas

Muimbaji wa kundi la Shosteez, Meninah Atick na Linah wa THT watasherehekea siku yao ya kuzaliwa March 16, kwa kufanya show ndani ya ukumbi wa Club Bilicanas. Meninah atazindua pia wimbo wake mpya “KA COPY KA PASTE” kwa mara ya kwanza. Wawili hao watasindikizwa na Mirror, Wakazi, Asia na Tash

MENINAH FINAL POSTER

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents