Burudani

Mense Selekta sasa ajana madancer

Mense_dancerface

Producer wa De Fatility International Mense Selekta, baada ya kujitoa katika kundi la Mexicana Lacavera na kuja na tap Mix ya One After One, sasa ameamua kuja na kundi zima la Dancers, ambalo kwa awamu ya kwanza walipanda jana kwenye tamasha la


bia ta Kilimanjaro na Website ya Bongo5. Pia alipiga wimbo wake aian ya Aladjiii, ambao ni nomaa… bado hujachelewa mambo kama hayo na mengine mengi yaanaendelea kupatikana leo, yaani sasa hivi pale Leaders Club kwa elfu saba tu.. mpaka mida ya usiku

Mense_dance_mmoja

Mense_watatu

Mesen_Leaders

Mense akiwa kwenye pozi

Mesen_leaders_changa

Kinda jipya la Mexicana, ambalo ni hatari kwenye michano

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents