Picha

Mercedes-Benz B6 Sprinter yenye muonekano wa chumba cha ‘5 Star hotel’ au private jet kwa ndani (picha)

Ule msemo wa ‘don’t judge the book by its cover’ unaoana sana na hiki nachotaka kushare na wewe hapa. Hii ni gari yenye muonekano wa kawaida sana kwa nje tofauti kabisa na muonekano wa ndani wenye hadhi ya vyumba vya hoteli za nyota 5 ‘5 Star hotel suite’.

benz-1

Kampuni ya kutengeneza magari ya kifahari Lexani Motorcars ya California, Marekani imesema imetengeneza gari hiyo ‘Mercedes-Benz B6 Sprinter’ maalum kwaajili ya usalama wa mtu binafsi.

benz-8

Gari hiyo yenye muonekano wa hadhi ya juu kwa ndani ina huduma zote muhimu kikiwemo choo cha kisasa, sinki lililopambwa kwa dhahabu, jiko dogo na viti vya leather. Gari hiyo pia ina kabati ndogo kwaajili ya kuning’iniza makoti na kuifanya kuwa na muonekano wa ‘high-end yachts’ au ‘private jets’.

benz-3

Gari hiyo pia ina TV ya Apple, Samsung LED TV, Bose surround sound audio system na vingine. Inasemekana bei ya gari hiyo inaweza kufika $450,000 ambayo ni zaidi ya Tsh Million 700.

benz-2

benz-5

benz-6

benz-7
Hivi ndivyo ilivyokuwa kabla haijatengenezwa kwa ndani

benz-9

benz-10

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents