Technology

Mercedes-Benz kuanza kuuza gari zinazojiendesha zenyewe mwaka 2020

Watengenezaji wa gari za Mercedes-Benz, Daimler wametangaza kuwa wataanza kuuza gari zinazojiendesha zenyewe mwaka 2020.

article-2418526-1BC683AB000005DC-401_634x417

Japokuwa gari hizo zitakuwa zikijiendesha zenyewe, bado dereva anaweza kushika usukani wakati wa mazingira magumu kama kudeal na taa za barabarani.

Hatua hiyo itaisadia kampuni hiyo ya Daimler kurudisha nafasi yake kama kampuni inayoongoza kwa kutengeneza gari za kifahari kutoka kwa BMW.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents