Burudani

Meshack wa BSS afunguka jinsi alivyojipanga kuzitumia tsh milioni 20 atakazokabidhiwa na BSS (Video)

Mshindi wa BSS mwaka 2019, Mashack amefunguka kuzungumzia jinsi alivyojipanga kutumia hela zake za ushindi tsh milioni 20 siku ambayo atakabidhiwa. Muimbaji huyo ambaye amedai anaogopa sana kushindwa kufanya vizuri kama wasanii wengine, amedai akipata hela yake hiyo yote ataiingiza kwenye muziki wake kwaajili ya branding ya label yake licha ya BSS.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents