Fahamu

Mfahamu Garry Turner, binadamu mwenye ngozi ya kuvutika kama mpira (+Video)

Garry Turner ni Muingereza anayeshikilia Rekodi ya Dunia ya Guinness ya kuivuta ngozi ya mwili wake. Oktoba 29, 1999 alivunja rekodi kwa kuvuta ngozi yake kwa urefu wa inchi 6.25.


Tangu avunje rekodi hiyo Garry Turner amekuwa akifanya maonyesho kwa kutumia ngozi yake na kujiingizia kipato.

Uwezo wa kuivuta ngozi umetokana na ugonjwa unaotambulika kama Ehlers-Danlos Syndromes (EDS) ambao kwake umejidhihirisha kwa kiasi kikubwa.

EDS ni ugonjwa unaoleta madhara kwenye viungo ambao katika namna nyingine unaweza kumfanya mtu aweze kuzungushwa sehemu za mwili isivyo kawaida kama wanavyofanya baadhi ya wanasarakasi.

https://www.instagram.com/tv/CHKcUmBBwgU/

https://www.instagram.com/tv/CHKcUmBBwgU/

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents