AFCON 2019 Tupogo!
Vodacom Data Datani!

Mfahamu mchungaji wa Brazil aliyekamatwa kwa kuwadanganya waumini kuwa uume wake una maziwa ya baraka

Valdeci Sobrino Picanto ni mchungaji wa Brazil ambaye mwaka huu alikamatwa kutokana na kuwadanganya waumini wake kuwa uume wake una maziwa ya baraka na hivyo kuwataka waunyonye kupata baraka hizo.

http://www.youtube.com/watch?v=3Pmdjs-4xUI

Mchungaji huyo aliwadanganya waumini wake kuwa roho mtakatifu alikuwa anaingia kwenye uume wake na kutoka kwa njia ya maziwa yenye upako.

Kwa mujibu wa mmoja wa waumini wa kanisa lake, mchungaji huyo alikuwa akiwahuburia kuwa Mungu angeingia kwa watu kupitia midomo yao.

“Alikuwa akitupeleka nyuma ya kanisa na kutuambia tumnyonye mpaka pale Roho Mtakatifu atakapotoka kwa njia ya ‘ejaculation’ (kufika kileleni).

Mchungaji huyo ambaye yupo jela alidai kuwa na mpango wa kuwapa maziwa hayo ya baraka wafungwa wenzie.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW