Burudani

Mfahamu Meja Kunta aliyeimba wimbo Mamu, afunguka undugu na Samatta na mengine (Video)

Bongo5 TV wiki hii ilikuwa na exclusive intervies na hit maker wa wimbo Mamu, Meja Kunta kutoka Temeke jijini Dar Es salaam, ambapo amefunguka mambo mengi kuhusu wimbo wake huo pamoja na mafanikio aliyoyapata.

Meja amefunguka kuhusu undugu wake na Mbwana Samatta, jinsi wimbo wake huyo ilivyoweza kurudisha wapenzi wengi pamoja ambayo mahusiano yao yalivunjika.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents