Aisee DSTV!

Mfahamu Mtanzania pekee aliyewahi kuchezesha Michuano ya Kombe la Duania, afunguka namna alivyopata nafasi hiyo “Nilikataa Ofa kubwa kutoka kwa baadhi ya timu ili niwapendelee” (+Video)

Mwamuzi pekee wa Tanzania aliyawahi kuchezesha Michuano ya Kombe la Dunia, Omari Isihaka Abdulkadiri amefunguka mazito kuhusu nafasi hiyo aliyowahi kuipata na huku akieleza namna alivyokataa fedha alizowahi kupatiwa na baadhi ya timu za taifa ili kuzipendelea uwanjani.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW