Jiunge ufaidi miezi 2 bure!

Mfahamu Nabii Shilla anaegawa fedha kanisani (+video)

Mfahamu Kiongozi wa Kanisa la Bethel Ministry nchini, Nabii Daniel Shilla, ambaye kanisa lake limesajili chini ya mwavuli wa Kanisa la Great Revival Mission Christian linaloongozwa na Askofu Peter Mlai, anaedai kufutiwa usajili wa huduma hiyo kwa madai ya kujihusisha na siasa, Mtazame hapa akifunguka.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW