Burudani

Mfahamu Niler Bernard, mshindi wa Tanzania Top Model 2013 anayefanya kazi SA (Video)

Kwenye kutafuta maisha kuna kila aina ya vikwazo ambavyo mtu hukutana navyo. Mrembo Niler Bernard ni miongoni mwa watu waliopitia vikwazo hivyo mpaka kufikia alipo sasa hivi. Niler aliwahi kuwa mshindi wa shindano la Tanzania Top Model mwaka 2013, na sasa anafanya kazi zake nchini Afrika Kusini na kampuni ya Boss Models.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents