Michezo

Mfahamu wakala wa wachezaji aliyewasaidia wengi kucheza nje – Video

Leo kulikuwa na tukio la Birthday dinner ya Wakala wa Wachezaji Tanzania anayefanya kazi chini ya kampuni ya @shadakasports ambayo mkurugenzi wake ni @shaffihdauda_


Ibrah Digala ni wakala wa Kitanzania aliyefanikiwa kuwasaidia wachezaji kadhaa kucheza nje ya nchi akiwemo @habibukyombo10 anayekipiga nchi Afrika kusini na wengine.

Digala ameeleza dhamira yake ya kuwa Wakala na malengo yalikuwa ndani ya miaka 5 Taifa Stars iwe na zaidi ya wachezaji 20 wanaocheza soka la kulipwa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents